BUNGE LA TANZANIA
Katibu wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa
Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge
zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo
vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili
na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya sheria.
Miswada itakayopitiwa na chambuliwa (pamoja na kamati husuka kwenye mabano) ni hii ifuatayo:
0 comments:
Post a Comment