Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha kimataifa cha diplomasia CFR kilichoko kurasini jijini Dar es Salaam Leo waliomtembelea makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.Philip Mangula nyumbani kwake Oysterbay wakikabidhi baadhi ya vitu kwaBw.Malumbo Philip Mangula na Mkewe,ambaye ni kaka wa marehemu Nemela Mangula aliyefariki mwaka jana ambaye alikuwa Rais wa Kwnaza mwanamke wa Serikali ya Wanafunzi ktk chuo hicho.Wanafunzi hao wameongozwa na mwalimu wao Bwana Gordon Kilave,Bwa,George Faustine,Dk.Telesphory Kyaruzi,Bw.Kennedy Ndosi,Bw.Ismail Shah,Bw.Hassan Makaraba na wengine.
Saturday, August 23, 2014
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment