Waliokuwa wanasubiri matokeo ya Kidato cha nne mwaka 2014,sasa mambo yameiva,matokeo yametoka.
Siku hizi hakuna Divisions, na tafsiri ya GPA ni hii hapa chini Distinction ndiyo kama Division 1 ukipenda.
DISTINCTION MERIT CREDIT PASS FAIL
GPA 3.6 - 5.0 2.6 - 3.5 1.6 - 2.5 0.3 - 1.5 0.0 - 0.2
KUANGALIA MATOKEO YA QT BOFYA HAPA
Kama huamini basi jiridhishe kwa kutembelea >>NECTA
0 comments:
Post a Comment