Wakwanza Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Kitengo Bw. Ally Mkumbwa, na wapili kutoka kushoto ni Afisa Mambo ya Nje Bw. Imani Njalikai wakifuatilia wazungumzo ya mhe. Waziri kwa makini. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.) akisaini kwenye kitabu cha wageni alipo wasili katika kituo cha Filbert Bayi kilichopo Kibaha. |
Katikati ni Mama Bayi akielezea jambo kwa waziri Membe (wa kwanza kulia) mara baada ya kusaini kitabu cha wageni, wakwanza kulia ni Bw. Filbert Bayi naye akisikiliza. |
Bw. Filbert Bayi akimwonyesha na kumwelezea Waziri Membe Ramani ya eneo hilo lililo na Shule ya awali, msingi, Sekondari na kituo cha michezo. |
Kiwanja cha mpira wa miguu kilichopo katika kituo cha michezo cha Filbert Bayi kilichopo Kibaha. |
Waziri Bernard Membe akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa vyama vya michezo mbalimbali nchini, mara baada ya kumaliza mazungumzo na wanamichezo. |
0 comments:
Post a Comment