Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akipongezana na Waziri wa
Maji Mhe.Jumanne Magembe mara baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya Ofisi ya
Waziri Mkuu Mei 16, 2015 katika Viwanja vya Bunge Dodoma.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Dr.Florens Turuka akisalimiana na Waziri wa
Nchi Ofisi Rais Utumishi Mhe.Celina Kombani mara baada ya kuhairishwa
kwa kikao cha Tano cha Bunge la Bajeti Mei, 16, 2015.
Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji Mhandisi Christopgher
Chiza akiteta jambo na Mbunge wa Mpendae Mhe. Abdallah Turky nje ya
Ukumbi wa Bunge Dodoma.(Muro)
0 comments:
Post a Comment