Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernad Membe akisalimiana na
balozi wa Tanzania nchini Msumbiji Mhe Shamim Nyanduga. Katikati ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI) Mhe Hawa Ghasia
Rais Kikwete akiongea na Flower girl Elizabeth Jackson aliye tayari kumkabidhi mgeni shada
Rais Nyuzi akitelemka katika ndege baada ya kuwasili
"....Karibu nyumbani..." anasema Rais Kikwete anapomlaki Rais Nyusi
Wanakumbatiana kwa furaha
Rais Nyusi anaendelea kukagua gwaride
Rais Kikwete anatambulishwa wa ujumbe alioongozana nao Rais Nyusi
Rais Nyusi anafurahia ngoma
Rais Kikwete akitambulishwa kwa maafisa waliooongozana na Rais Nyusi
Mamia ya wananchi wakimsubiri mgeni Ikulu
Rais Kikwete akipeana mkono na mgeni wake baada ya mapokezi makubwa
Sehemu ya wanahabari wa Tanzania na Msumbiji wakiwa kazini
Rais Nyusi akimkabidhi mwenyeji wake zawadi
Rais Kikwete akimkabidhi mgeni zawadi yake
Rais Kikwete na mgeni wake wakiongea kabla ya dhifa ya kitaifa aliyomwandalia
Rais Kikwete na mgeni wake na mawaziri wa nchi zao wakiongea kabla ya dhifa ya kitaifa aliyomwandalia
Rais Kikwete na mgeni wake katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia
Rais Kikwete akihutubia wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais Nyusi
Rais Kikwete agonganishwa glasi na mgeni wake wakati wa dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Rais Nyusi
Rais Nyusi akitoa hotuba yake
Sehemu ya mawaziri na mabalozi
Sehemu ya viongozi mbalimbali
Mabalozi wa nchi mbalimbali walioalikwa
Mabalozi
Mawaziri na mabalozi
Rais Kikwete akigonganisha glasi na mgeni wake
Mawaziri wakigonganisha glasi
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba na waalikwa wengine
Mkuu wa Wilaya
ya Kinondoni Mhe Paul Makonda (kushoto), Mbunge wa Singida Mhe. Mo
Dewji, Mwenyekiti wa Yanga Bw. Yusuf Manji na Mkurugenzi Mtendaji wa
TPSF Bw. Godfrey Simbeye
Baadhi ya maafisa wa protokali wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa. Picha zote na IKULU
0 comments:
Post a Comment