Tumemnukuu mjumbe wa kamat kuu ya CCM Taifa ambaye ni Meya wa manispaa ya ilala jijini Dar es Salaam kusimamia zoezi la uchaguzi wa shirikisho la mkoa wa vyuo vikuu Taifa mjini dodoma jana naye alisema yafuatayo........Kamati Kuu ya CCM imeniteua kusimamia Uchaguzi wa Kwanza wa Shirikisho la Vyuo vya Elimu ya Juu...
Historia inaandikwa na usimamizi wangu wa haki uandika vyema historia hii.
Dodoma moja......
Waite wanachama wa shirikisho....
Dodoma moja......
Waite wanachama wa shirikisho....
Hatimaye kazi imeisha salama na 00:20 tumetangaza matokeo, Shirikisho la Vyuo vya elimu ya juu limepata viongozi wake....
Hongera Zainab,hongera Kayombo na wenzako......
Mmmepewa dhamana kubwa ndani ya CCM,msituangushe....
Hongera Zainab,hongera Kayombo na wenzako......
Mmmepewa dhamana kubwa ndani ya CCM,msituangushe....
0 comments:
Post a Comment