Rais
Jakaya Kikwete, akimuapisha, Katarina Revocati (Kulia), kuwa Msajili wa
Mahakama ya Rufani Tanzania, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Alhamisi
Januari 8, 2015
Rais akimkabidhi Katiba
Rais akimpongeza
Majaji wakibadilishana mawazo
Jaji
Mkuu, Mohamed Chande Othman (Kulia), akizungumza na Waziri wa Sheria na
Katiba, Dkt. Asha Rose Migiro wakatiwa hafla hiyo ya kumuapisha Katarina
Rais akisalimianana Jaji Mkuu Mohammed Chande Othman
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalum), Profesa Mark Mwandosya, (Wapili kushoto), akiwa na majaji kwenye hafla hiyo
picha ya pamoja
Rais na familia ya Katarina Revocati
Rais
katika picha ya pamoja kutoka kushoto, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi
Ombeni Sefue, Jaji Mkuu, Mohammed Chande Othman, Msajili wa Mahakama ya
Rufani, Katarina Revocati, Waziri wa Sheria na Katiba, Dkt. Asha Rose
Migiro, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju
0 comments:
Post a Comment