Kamanda wa Kata ya Nguvumali Mr. Bernard Goliama akiapishwa RASMI kubwa
Kamanda wa kata Ya Nguvumali Tanga. Lilikuwa tukio la kipekee sana
katika Kata. Tunawashukuru sana vijana wa Nguvumali kwa Imani na Mimi.
Nitajitahidi kwa uwezo wangu wote kuunganisha vijana((UVCCM) na vijana
wengine). Tukio hili Lilifanishwa na Viongozi wa Juu wa CCM Wilaya na
Wazee wa Nguvumali na Kunisimika RASMI. ASANTENI SANA.
0 comments:
Post a Comment