728x90 AdSpace

Latest News

Friday, August 15, 2014

RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA KISIMA CHA MAJI, LAMBO KATIKA KIJIJI CHA JAMII YA WAFUGAJI CHA MBALA,CHALINZE

 Ridhiwani
Kikwete akifunua pazia ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kisima hicho.
Kushoto ni Askofu wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark
Malekana.




 Ridhiwani akimtwisha ndoo ya maji mmoja wa akina mama wa jamii ya kimasai baada ya kuzindua kisima hicho.



 Ridhiwani
Kikwete akifungua maji ikiwa ni ishara ya kuzindua lambo la kunyweshea
mifugo katika Kijiji cha Mbala kinachokaliwa kwa asilimia kubwa na jamii
ya wafugaji



 Mama mwingine wa Jamii ya Kimasai akitwisha ndoo ya maji na Ridhiwani Kikwete.



 Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete akiongozana
na akina mama wa jamii ya kimasai waliobeba maji waliyoyateka baada ya
mbunge huyo kuzindua kisima cha maji katika Kijiji cha Mbala, Chalinze,
Bagamoyo mkoani Pwani jana. Kisima hicho pamoja na lambo la kunyweshea
mifugo vimejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya sh. mil. 76.
Kushoto ni Kiongozi wa mradi huo, Joseph Chagama na nyuma yake ni Askofu
wa Kanisa la Wasabato Jimbo la Mashariki,Mark Malekana. (PICHA NA
RICHARD MWAIKENDA)







 Ng’ombe wakitoka kunywa maji kwenye lambo hilo



 Watoto wa kimasai waonja maji ya kwenye lambo baada ya uzinduzi



 Kwaya
ya Amkeni ya Kanisa la Wasabato la Mbala, ikitumbuiza wakati wa hafla
ya uzinduzi wa kisima cha maji uliofanywa na Mbunge wa Jimbo la
Chalinze, Ridhiwani Kikwete, katika Kijiji cha Mbala, Chalinze, mkoani
Pwani jana. Kanisa hilo limejengwa na Kanisa la Wasabato kwa gharama ya
sh. mil. 76. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)




 Ridhiwani Kikwete (wa pili kulia) akishiriki katika maombezi



Kwaya ya Kanisa la Wasabato la Manzese wakimwimbia bwana wakati wa hafla hiyo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: RIDHIWANI KIKWETE AZINDUA KISIMA CHA MAJI, LAMBO KATIKA KIJIJI CHA JAMII YA WAFUGAJI CHA MBALA,CHALINZE Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top