728x90 AdSpace

Latest News

Monday, August 18, 2014

Mhe.Rais Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Aliyetunga Insha Bora

student_be282.jpg
Rais Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha 4, Neema Mtwanga mwenye umri wa miaka 16 wa shule ya Sekondari Naboti iliyopo mkoani Njombe baada ya kuibuka mshindi wa kwanza katika utunzi wa Insha katika shindano lililoandaliwa na SADC.
kama umefurahishwa na ushindi wa binti huyu, tupia 'HONGERA' yako hapa tumpongeze.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Mhe.Rais Kikwete akimpongeza mwanafunzi wa kidato cha nne Aliyetunga Insha Bora Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top