728x90 AdSpace

Latest News

Friday, August 15, 2014

MH. SITTA ATEMBELEWA NA JUKWAA LA KATIBA NA JUKWAA LA WAHARIRI MJINI DODOM


Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta, akizungumza na Mwenyekiti wa
Jukwaa la Katiba (JUKATA), Deus Kibamba, alipomtembelea ofisini kwake
Bungeni Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Jukwaa hilo Hezron Kaaya.




Mwenyekiti
wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akizungumza na Viongozi wa
Jukwaa la Wahariri (TEF), walipomtembelea ofisini kwake Bungeni Mjini
Dodoma leo. Picha na Owen Mwandumbya.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MH. SITTA ATEMBELEWA NA JUKWAA LA KATIBA NA JUKWAA LA WAHARIRI MJINI DODOM Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top