Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Kamati Kuu
ya Halmashauri Kuu ya Taifa CCM kwenye ukumbi wa NEC,CCM Makao Makuu
Dodoma.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisoma taarifa fupi ya ufunguzi wa kikao kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma.
Katibu
wa NEC Uchumi na Fedha Bi.Zakia Meghji akizungumza na Katibu wa NEC
Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib wakibadilishana mawazo muda
mfupi kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya
Taifa mjini Dodoma.
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Nchemba akizungumza na Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Nape Nnauye katika ukumbi wa NEC kabla ya
kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.
Wednesday, October 15, 2014
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment