Taswira hii inayosambaa kila pembe katika mitandao ya jamii na Globu ya
Jamii kuipata ndiyo chachu ya mjadala wetu ambao mdau unaombwa kuchangia
bila kuchafua hali ya hewa. Ukweli ni kwamba THIS IS TOO MUCH! Ni lazima
kifanyike kitu ama lifanyike jambo kukomesha maafa ya kila mara nchini
kutokana na ajali za barabarani.
Thursday, September 11, 2014
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment