Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Jackob
Zuma wa Afrika ya Kusini pamoja na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia
ya Kongo (DRC) wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Robert Mugabe
wa Zimbabwe kwa ajili ya viongozi wa SADC wanaohudhuria mkutano wa 34 wa wakuu wa
nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe (picha na
Freddy Maro)
Tuesday, August 19, 2014
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment