728x90 AdSpace

Latest News

Wednesday, September 3, 2014

JK ajadili ugaidi Kenya: Soma hapa

RAIS Jakaya Kikwete amewasili jijini Nairobi, nchini Kenya, juzi usiku kuhudhuria mkutano maalumu wa wakuu wa nchi zinazounda Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika (AU), ambalo Tanzania ni mwanachama.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, mkutano huo wa siku moja uliofanyika jana, umejadili ugaidi na athari zake kwa nchi za Afrika.

Mkutano huo ulifanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Kenyatta na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali, akiwamo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: JK ajadili ugaidi Kenya: Soma hapa Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top