728x90 AdSpace

Latest News

Saturday, August 23, 2014

CCM DIPLOMASIA WAMTEMBELEA MHE.PHILIP MANGULA


Baadhi ya wanafunzi wa chuo cha kimataifa cha diplomasia CFR kilichoko kurasini jijini Dar es Salaam Leo waliomtembelea makamu mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.Philip Mangula nyumbani kwake Oysterbay wakikabidhi baadhi ya vitu kwaBw.Malumbo Philip Mangula na Mkewe,ambaye ni  kaka wa marehemu Nemela Mangula aliyefariki mwaka jana ambaye alikuwa Rais wa Kwnaza mwanamke wa Serikali ya Wanafunzi  ktk chuo hicho.Wanafunzi hao wameongozwa na mwalimu wao Bwana Gordon Kilave,Bwa,George Faustine,Dk.Telesphory Kyaruzi,Bw.Kennedy Ndosi,Bw.Ismail Shah,Bw.Hassan Makaraba na wengine.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: CCM DIPLOMASIA WAMTEMBELEA MHE.PHILIP MANGULA Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top