728x90 AdSpace

Latest News

Tuesday, August 19, 2014

RAIS KIKWETE KWENYE DHIFA ILIYOANDALIWA NA RAIS MUGABE KWA VIONGFOZI WA SADC

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini pamoja na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC) wakati wa dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe kwa ajili ya viongozi wa SADC wanaohudhuria mkutano wa 34 wa wakuu wa nchi za SADC unaofanyika katika mji wa Victoria Falls nchini Zimbabwe (picha na Freddy Maro)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: RAIS KIKWETE KWENYE DHIFA ILIYOANDALIWA NA RAIS MUGABE KWA VIONGFOZI WA SADC Description: Rating: 5 Reviewed By: Unknown
Scroll to Top